News and Events Change View → Listing

Mkurugenzi wa Bodi ya Tumbaku akizungumza na kituo Yunan Television ya China

Mkurugenzi wa Bodi ya Tumbaku akizungumza na kituo Yunan Television ya China ambapo ameelezea madhumuni ya ziara ya wadau wa Tumbaku kutoka Tanzania ni kujifunza aina ya Tumbaku inayotakiwa katika soko la…

Read More

MAONYESHO YA 17 YA UTALII (SHANGHAI WORLD TRAVEL FAIR)

Maonesho ya Kimataifa ya Utalii (Shanghai World Travel Fair) yatafanyika tarehe 23-26 April 2020 jijini Shanghai.Ubalozi unapenda kuwajulisha wadau wa utalii nchini watakaopenda kushiriki wawasiliane na Afisa…

Read More

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa SMZ ziara ya kikazi ya siku 5

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa SMZ Mhe.Riziki Pembe Juma ameanza ziara ya kikazi ya siku (5) nchini China.Katika ziara hiyo Mhe Pembe atakutana na viongozi waandamizi wa taasisi za Elimu ya Juu nchini…

Read More

Fursa za ufadhili wa Masomo zinazotolewa na Serikali ya China kwa 2020/2021

Mchakato wa kuomba Fursa za Ufadhili wa Masomo (Scholarship) zinazotolewa na Serikali ya China katika Mwaka wa Masomo 2020/2021 umeanza. Wenye nia ya kuomba fursa hizo wanashauriwa kutembelea tovuti ya China…

Read More

Huawei ICT competition award 2019

On December 13th, H.E. Wang Ke, Chinese Ambassador and Hon. Innocent Bashungwa, Minister for Industry and Trade jointly handed over the awards to winners of Huawei ICT Competition 2019-2020 Tanzania, who are…

Read More
Sehemu ya hadhira iliyojitokeza kwenye Mkutano wa Pili wa Jukwaa la Haki za Binadamu kwa nchi zinazoendelea wakifuatilia hotuba iliyokuwa ukitolewa na Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe

KATIBU MKUU DKT.FARAJI K. MNYEPE ASHIRIKI MKUTANO WA HAKI ZA BINADAMU BEIJING, CHINA.

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe yuko nchini China kushiriki Mkutano wa Pili wa Jukwaa la Haki za Binadamu kwa nchi zinazoendelea …

Read More

ATIBU MKUU AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA CHINA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe (kushoto) akisaini kitabu cha Wageni alipokutana kwa mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa…

Read More
Tanzania ePassports, 2019

Utaratibu wa kupata pasipoti mpya

Baada ya maulizo mengi kuhusu utoaji wa Pasipoti Mpya, ufuatao ni utaratibu wa kushughulikia zoezi hilo katika nchi za uwakilishi wetu*: A. KUNUNUA FOMU Mwombaji anaweza kuja Ubalozini na pasipoti…

Read More