Diaspora Events Change View → Listing

Balozi wa Tanzania nchini China Mhe. Mbelwa Kairuki akihutubia katika mkutano wa Shirikisho la Jumuiya ya Watanzania wanaosoma katika  Taifa la China(TASAFIC) uliofanyika mjini Wuhan, jimbo la Hubei hivi karibuni.

Watanzania Waishio China Watakiwa Kuchangia Juhudi za Kukuza Uchumi wa Taifa la Tanzania

Balozi wa Tanzania  nchini China  Mhe Mbelwa Kairuki amewataka Watanzania wanaosoma katika Taifa hilo  kutumia fursa hiyo kuunga mkono juhudi za Tanzania kuelekea Uchumi wa kati ifikapo …

Read More

Jumuiya ya Watanzania Wanaosoma Beijing Waadhimisha Miaka 53 ya Muungano

Jumuiya ya Wanafunzi Watanzania wanaosoma nchini China,wameadhimisha kumbukumbu ya Miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa kushiriki MAONYESHO YA KIMATAIFA YA UTALII NA UTAMADUNI katika Viwanja vya…

Read More